Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Sep 06, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Bw. Peter Sands mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Bw. Peter Sands baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.