[caption id="attachment_47314" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndungulile, akiwekewa mafuta ya kulainisha ngozi yaliyotengenezwa kutokana na matunda alipotembelea Banda la Chuo cha VETA katika Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) linaloendelea Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Idara ya Habari-MAELEZO)[/caption]
Na. Paschal Dotto – MAELEZO, Dar es Salaam.
25.09.2019
Naibu wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Waze...
Read More