[caption id="attachment_47304" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Stella akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kutembelea mabanda mbalimbali kwenye Tamasha hilo.[/caption]
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Anayeshughulikia Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa, leo ametembelea Tamasha la JAMAFEST na kuwa moja ya viongozi ambao wamepata Fursa za kuja kutembelea Maonesho haya makubwa ya tamasha la Utamaduni kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki JAMAFEST
[caption id="attachment_47308" align="aligncenter" width="750"]