[caption id="attachment_13354" align="aligncenter" width="750"] Aliyekuwa Mkurugenzi wa Masuala ya Utamaduni wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Hermas Mwansoko akitoa mada kuhusu masula ya utamaduni mbele ya Wajumbe mbalimbali waliohudhuria mkutano unaohusiana na masuala ya Tamasha la Utamaduni na Sanaa Afrika Mashariki (JAMAFEST) mjini Kampala, Uganda 12 Septemba, 2017.[/caption]
Watanzania wametakiwa kuuenzi na kuulinda utamaduni wao kupitia Tamasha la Utamaduni na Sanaa Afrika Mashariki (JAMAFEST) ili waweze kuleta maen...
Read More