[caption id="attachment_13336" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ngugai akisisitiza jambo wakati wa Kikao cha Bunge leo mjini Dodoma.
[/caption]
[caption id="attachment_13339" align="aligncenter" width="750"] Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju akisisitiza jambo mara baada ya kuwasilisha muswaada wa sheria ya marekebisho ya Sheria mbalimbali namba 3 wa mwaka 2017 leo Bungeni mjini Dodoma.[/caption]
[caption id="attachment_13345" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akisisitiza jambo kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi.
[/caption]
[caption id="attachment_13337" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid (wakwanza kulia) akifuatilia kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo mjini Dodoma.
[/caption]
[caption id="attachment_13338" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Mtwara Vijijini Mhe . Hawa Ghasia akichangia hoja Bungeni leo mjini Dodoma kuhusu maboresho katika sekta ya Afya hasa suala la tohara kwa wanaume ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi.[/caption]