Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao na Viongozi wa Mkoa wa Tabora kwenye ukumbi wa Isike Mwanakinyungi katika Manispaa ya Tabora, Septemba 8, 2022.
Baadhi ya washiriki wa kikao na Viongozi wa Mkoa wa Tabora wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao katika kikao hicho kwenye ukumbi wa Isike Mwanakinyungi katika Manispaa ya Tabora, Septemba 8, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Burian (katikati) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tabora...
Read More