Majaliwa Azungumza Katika Kikao na Viongozi wa Mkoa wa Tabora
Sep 08, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Baadhi ya washiriki wa kikao na Viongozi wa Mkoa wa Tabora wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao katika kikao hicho kwenye ukumbi wa Isike Mwanakinyungi katika Manispaa ya Tabora, Septemba 8, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Burian (katikati) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tabora, Hassan Wakasuvi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora kwa ziara ya kikazi mkoani humo, Septemba 8, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Isike Mwanakinyungi katika Manispaa ya Tabora kwa ajili ya Kikao na Viongozi wa Mkoa wa Tabora, Septemba 8, 2022.