[caption id="attachment_35096" align="aligncenter" width="750"] 1. Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Ephraim Kwesigabo akitangaza hali ya Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2018 leo jijini Dodoma.[/caption]
Na: Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMA
Ofisi ya Taifa ya Takwimu ‘NBS’ imetoa taarifa ya mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2018 ambapo imeelezwa kuwa Mfumuko huo umebaki kuwa asilimia 3.3 kama iliyokuwa kwa mwaka ulioishia mwezi Julai, 2018.
Akizungumza leo jijini Dodoma, Mkurug...
Read More