Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Arejea Dodoma
Sep 10, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_35081" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma akitoka Dar es salaam Septemba 10, 2018.[/caption] [caption id="attachment_35083" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge (kulia) na Mkuu wa wilaya ya Dodoma Patrabas Kitambi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma akitoka Dar es salaam Septemba 10, 2018.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi