Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ameweka Jiwe la Msingi Ujenzi Daraja la Mto Sibiti
Sep 10, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_35103" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Sibiti wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.[/caption] [caption id="attachment_35104" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa cha jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.[/caption] [caption id="attachment_35105" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.[/caption] [caption id="attachment_35106" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mmoja wa Mhandisi wa kampuni ya Hanan China inayojenga daraja hilo mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.[/caption] [caption id="attachment_35108" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungmza na Wahandisi wa kampuni ya Hanan China inayojenga daraja hilo na kuwasisitiza kumaliza katika muda uliopangwa mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.[/caption]   [caption id="attachment_35110" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Sibiti mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.[/caption] [caption id="attachment_35111" align="aligncenter" width="750"] Kikundi cha ngoma cha utamaduni kikitumbuiza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.[/caption] [caption id="attachment_35115" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Daraja la mto Sibiti lenye urefu wa mita 82 upana mita 10.5 linalounganisha kati ya mikoa ya Simiyu na Singida kama linavyoonekana ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 70.[/caption] [caption id="attachment_35112" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wakiwa katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.
Picha na IKULU[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi