Fundi Mitambo wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Bw. Hamis Kalanje akimuonyesha mitambo ya kurushia matangazo ya redio iliyopo Kihipe mkoani Lindi Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (kushoto),wakati alipotembelea kituo hicho mnamo Agosti 11,2020
Na Shamimu Nyaki –WHUSM, Lindi.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kwamba suala la kukatika kwa umeme mara kwa mara katika Mikoa ya Lindi na Mtwara linalosababisha mitambo ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)...
Read More