Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa, akitoa maoni yake katika kuboresha mkakati wa miaka 10 wa ubidhaishaji Kiswahili ndani na je ya nchi katika kikao cha kuupitia mkakati huo baina yake na watendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa ameliagiza Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) kuwashirikisha wadau wa lugha ya Kiswahil...
Read More