Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Elsie Sia Kanza kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani.
.
Mabalozi walioapishwa Wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi mara baada ya kuapishwa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya tukio la Uapisho wa Mabalozi watatu na Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ikulu Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU