Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Kasulu leo Agosti 3, 2022, kuhusu utekelezaji wa Bajeti ya Ofisi hiyo kwa Mwaka 2021/22 na Mwelekeo wa Bajeti ya Mwaka 2022/23 mjini Kasulu, Kigoma.
Na. Mwandishi Wetu – Kasulu, Kigoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesema kuwa Serikali imeanza kutekeleza mpango wa kuwawezesha Watu wenye Ulemavu kwa kujenga vyuo vipya vita...
Read More