[caption id="attachment_46328" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (kushoto), akimkabidhi pesa ya kulipia gharama za kuunganishiwa umeme mzee mwenye umri wa miaka 109, Ramadhan Manga, mkazi wa kijiji cha Muungano, Morogoro Vijijini kutokana na uzalendo aliouonesha, kuruhusu mazao yake yakatwe kupisha njia ya umeme, pasipo kudai fidia. Naibu Waziri alikuwa katika ziara ya kazi, Agosti 28, 2019.[/caption]
Na Veronica Simba – Morogoro
Serikali imetoa rai kwa kampuni zinazotandaza mfumo wa nyaya za umeme kwenye...
Read More