Na: Prisca Libaga-MAELEZO, Arusha
Wilaya ya Longido mkoani Arusha, imejipanga kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kuweza kutumia zahanati na vituo vya afya vilivyopo kwa ajili ya kupata matibabu yenye uhakika na hivyo kuacha matumizi ya dawa za asili ambazo hazina vipimo .
Hayo yameelezwa jana na Mkuu wa wilaya ya Longido, Godferey Chongolo, alipokuwa akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Hamisi Kigwangalla na kusisitiza kuwa mkakati uliopo ni kuendelea kuwahamasisha wananchi watumie hospitali kwa ajili ya afya zao .
Amesema wila...
Read More