Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Ziara ya Rais wa Zanzibar Dk. Shein Wilaya ya Magharibi "B"
Aug 21, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_9645" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wananchi wa Kinuni na Magogoni wakiwa katika shamra shamra wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele leo inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco,Rais akiwa katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi.[/caption] [caption id="attachment_9646" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa,Idara Maalum za SMZ Nd,Radhia Rashid Haroub alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele leo inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco,Rais akiwa katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi.[/caption] [caption id="attachment_9647" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Kinuni na Magogoni wakiwa katika shamra shamra wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele leo inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco,Rais akiwa katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi.[/caption] [caption id="attachment_9649" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Kinuni na Magogoni leo alipofanya ziara ya kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco, katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZMhe.Haji Omar Kheir na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud.[/caption] [caption id="attachment_9650" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Kinuni na Magogoni leo alipofanya ziara ya kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco, katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi