Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua majengo ya Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida na Ofisi ya Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Singida, ambayo yamegharimu shilingi1.314 , Agosti 30, 2021. Kulia ni Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua jengo la Ofisi ya Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Mkoa wa Singida Agosti 30, 2021. Kutoka kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Stella Mutabihirwa, Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirr...
Read More