Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua majengo ya Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida na Ofisi ya Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Singida, ambayo yamegharimu shilingi1.314 , Agosti 30, 2021. Kulia ni Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua jengo la Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida Agosti 29, 2021. Kutoka kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa, Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge
Muonekano wa jengo la Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida ambalo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amelifungua Agosti 30, 2021