Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Chile nchini, Mhe. Maria Alejandra Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26, 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Belarus nchini, Mhe. Pavel Vziatkin Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26, 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Australia nchini, Mhe. Luke Joseph Williams Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26, 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Australia nchini, Mhe. Luke Joseph Williams mara Baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Williams Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Colombia Nchini, Mhe. Monica Greiff Lindo mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Monica Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021.