Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa akiongea na wachezaji na viongozi wa Timu ya Taifa inayoshiriki kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola inayoanza rasmi jijini Birmingham, Uingereza, kesho Alhamisi Julai 28, 2022, akiwa ameongozana na Naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo, Mhe. Said Yakub, Mbunge wa Singida Mjini, Mhe, Mussa Sima na Kaimu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa, Neema Msitha.
Read More