Majaliwa Akagua Mwenendo na Shughuli za Usafirishaji Katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma
Jul 27, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Ina Mbunge wa Tunduma, David Silinde (kushoto kwake) na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba (kulia kwake) wakati alipokagua mwenendo na shughuli za usafirishaji katika Halmashauri ya ya Mji wa Tunduma mkoani Songwe, Julai 27, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba wakati alipokagua mwenendo na shughuli za usafirishaji katika Halmashauri ya ya Mji wa Tunduma mkoani Songwe, Julai 27, 2022.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokagua mwenendo na shughuli za usafirishaji katika Halmashauri ya ya mji wa Tunduma mkoani Songwe, Julai 27, 2022.