Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Tamasha la Kwanza la Kitaifa la Utamaduni kwenye Uwanja wa Uhuru, Temeke mkoani Dar es salaam, Julai 2, 2022.
Baadhi ya washiriki wa Tamasha la Kwanza la Kitaifa la Utamaduni wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua tamasha hilo kwenye uwanja wa Uhuru, Temeke mkoani Dar es salaam, Julai 2, 2022.
Wasanii kutoka Mkoa wa Mwanza wakicheza ngoma ya nyoka katika Tamasha la Kwanza la Kitaifa la Utamaduni lililofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uw...
Read More