Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA), Axel van Trotsenburg, Dakar nchini Senegal kabla ya kuanza mazungumzo tarehe 07 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA), Axel van Trotsenburg, Dakar nchini Senegal tarehe 07 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha...
Read More