Rais Mhe. Samia Akutana na Kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Uendeshaji wa Benki ya Dunia
Jul 07, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA), Axel van Trotsenburg, Dakar nchini Senegal tarehe 07 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA) Axel van Trotsenburg mara baada ya mazungumzo yao Dakar nchini Senegal tarehe 07 Julai, 2022.