Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la mradi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Singida iliyopo katika Kata ya Solya, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni. Julai 15, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kaimu Mhandisi Ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Mhandisi Ahmed Suleiman, wakati alipotembelea mradi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Singida iliyopo katika Kata ya Solya, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni. Julai 15, 2022.
Wazir...
Read More