Makamu wa Rais Awasili Kilimanjaro kwa Ziara ya Kikazi
Jul 15, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Stephen Kagaigai, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Ridhiwani Kikwete pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kilimanjaro wakati alipowasili mkoani humo leo tarehe 15 Julai 2022 kwa ziara ya kikazi.