Waziri Mkuu Majaliwa Afanya Ziara Wilayani Manyoni
Jul 15, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kaimu Mhandisi Ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Mhandisi Ahmed Suleiman, wakati alipotembelea mradi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Singida iliyopo katika Kata ya Solya, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni. Julai 15, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Singida iliyopo katika Kata ya Solya, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni. Julai 15, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Manyoni, wakati alipotembelea mradi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Singida iliyopo katika Kata ya Solya, wilayani humo. Julai 15, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la huduma za dharura katika hospitali ya Wilaya ya Manyoni, Julai 15, 2022 mkoani Singida. Ujenzi wa jengo hilo umegharimu Shilingi milioni 300 mpaka sasa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Maganga Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, Furaha Mwakafwila, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la huduma za dharura katika hospitali ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, Julai 15, 2022. Ujenzi wa jengo hilo umegharimu Shilingi milioni 300 mpaka sasa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la huduma za dharura katika hospitali ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, Julai 15, 2022. Ujenzi wa jengo hilo umegharimu Shilingi milioni 300 mpaka sasa.
Muonekano wa Jengo la huduma za dharura katika hospitali ya Wilaya ya Manyoni, lililopo mkoani Singida. Ujenzi wa jengo hilo umegharimu Shilingi milioni 300 mpaka sasa. Julai 15, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Manyoni mjini, wakati aliposimama kusikiliza kero zao, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Singida, Julai 15, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Manyoni mjini akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Singida, Julai 15, 2022.