Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dtk. Philip Mpango akisalimiana naMkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Stephen Kagaigai, Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, Naibu Waziri wa Afya, Mhe. Godwin Mollel pamoja na viongozi mbalimbali wa Wizara na Mkoa wa Kilimanjaro wakati alipowasili Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto kufungua Maabara ya Afya ya Jamii ya Hospitali hiyo iliyopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro. trehe 16 Julai 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe. Dtk. Philip Mpango akizindu...
Read More