Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua bomba la maji wakati alipokagua mradi wa maji Misigiri, uliopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida. Julai 16, 2022. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la mradi wa kituo cha Afya cha Mtoa, kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida. Julai 16, 2022.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa