Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 02 Julai, 2018 amewaapisha Mawaziri watatu, Naibu Mawaziri wawili, Makatibu Wakuu watatu, Naibu Makatibu Wakuu watatu na viongozi wengine wa taasisi na idara za Serikali aliowateua jana tarehe 01 Julai, 2018.
Hafla ya kuapishwa kwa viongozi hao imefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Mawaziri, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Wabunge, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usala...
Read More