Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

TCC yawashirikisha Walimu kuandaa Kitabu
Jul 02, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_33217" align="aligncenter" width="750"] Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu, Bibi Winifrida Rutaindurwa akiongea na Walimu (hawapo pichani) walioshiriki katika kikao kazi cha kuandaa kitabu cha Maadili na Miiko ya kazi ya ualimu. Kikao hicho kilifanyika Mwishoni mwa wiki mjini Morogoro chini ya ufadhili wa EQUIP – Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_33218" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi wa EQUIP - Tanzania, Bw. Erick Kilala akiongea na washiriki wa kikao kazi cha kuandaa kitabu cha maadili na miiko ya kazi ya ualimu kilichofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Flomi mjini Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_33219" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa Walimu walioshiriki kikao kazi akitoa dondoo za madhui yanayohitajika katika kitabu cha maadili na miiko ya kazi ya ualimu.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi