Mkufunzi wa mafunzo ya mfumo wa malipo Epicor toleo Na. 10.2 kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Augustino Manda (aliyesimama) akitoa maelezo ya awali ya mafunzo hayo kwa Maafisa Manunuzi kutoka Halmashauri za Mikoa ya Dodoma, Singida, Shinyanga, Arusha na Manyara , leo Jijini Dodoma.
Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma.
Mfumo mpya wa malipo epicor toleo Na. 10.2 unaotarajiwa kuanza kutumika Julai 1, mwaka huu na Mamlaka zote za Serikali za Mitaa nchini umeelezwa kuboresha huduma kwa wananchi kutokana na...
Read More