Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi akiwasilisha mada kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii katika kutangaza huduma na shughuli mbalimbali za Serikali kwa Maafisa Habari na Maafisa Tehama kutoka Taasisi mbalimbali Serikalini wakati wa mafunzo maalum yaliyofanyika leo Ijumaa Juni 8, 2018 Jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA MAELEZO)