[caption id="attachment_4493" align="aligncenter" width="720"] Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akikabidhi dawa za Viuadudu kwa baadhi ya wawakilishi wa Halmashauri nchini leo mjini Kibaha, Pwani. (Picha na WAMJW)[/caption]
Na: WAMJW, Kibaha
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,J nsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuongeza chachu katika mapambano dhidi ya malaria baada ya kwa kununua lita laki moja na kusamb...
Read More