[caption id="attachment_3142" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Bw. Sam Kamanga akimkabidhi Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), hundi kifani yenye thamani ya Sh. bil. 1,7 ambazo ni gawiwo ambalo Serikali imepata baada ya Shirika hilo kupata faida kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Tukio hilo lilifanyika leo Makao Makuu ya Wizara Mjini Dodoma.[/caption]
Na Benny Mwaipaja-WFM, Dodoma
SERIKALI imeendelea kupata neema kutokana na uwekezaji wake kwenye mashirika na taasisi mb...
Read More