Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Akutana na Viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) Ofisini Kwake Mjini Dodoma.
Jun 09, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_3128" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (kulia) akizungumza na viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) (hawapo pichani) walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo Taasisi hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi.[/caption] [caption id="attachment_3130" align="aligncenter" width="1000"] Mtendaji Mkuu wa Tanzania Media Fund (TMF) Bw. Alex Kanyambo (kulia) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (hayupo pichani) wakati viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo Taasisi hiyo.[/caption] [caption id="attachment_3133" align="aligncenter" width="750"] Mtendaji Mkuu wa Tanzania Media Fund (TMF) Bw. Alex Kanyambo (kushoto) akijadilana jambo na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (katikati) pamoja na Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (kushoto) wakati viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo Taasisi hiyo.[/caption] [caption id="attachment_3136" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma wa pili kulia ni Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi. (Picha na Octavian Kimario)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi