Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Abdul-Razaq Badru akikabidhi tuzo maalum ya waajiri 10 bora wa sekta binafsi kutoka Mkoa wa Dodoma wakati wa hafla iliyofanyika Jijini Dodoma Ijumaa Juni 10, 2022. Wengine pichani ni watendaji waandamizi wa HESLB na baadhi ya waajiri wa sekta binafsi.
Na Eline Maronga,HESLB,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) imewatambua na kuwapa tuzo maalum waajiri 10 kutoka Mkoa wa Dodoma kutokana na kuwasilisha kwa wakati makato ya wafanyakazi wao wali...
Read More