Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea nchini Uganda kwa Ziara ya Kiserikali ya siku mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali (hawapo pichani) katika Uwanja wa Ndege wa Ki...
Read More