Rais Samia Aelekea Nchini Uganda kwa Ziara ya Kiserikali
May 10, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali (hawapo pichani) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea nchini Uganda kwa Ziara ya Kiserikali ya siku mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ikulu ya Entebbe wakati wa ziara yake ya Kiserikali nchini Uganda tarehe 10 Mei, 2022.