[caption id="attachment_43118" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mwongeza wilayani Iramba, Mkoa wa Singida, alipokuwa katika ziara ya kazi Mei 17, 2019 kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini na kuwasha umeme.[/caption]
Na Veronica Simba - Singida
Ziara ya siku mbili iliyofanywa na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani mkoani Singida, imeleta neema kwa wananchi wa Mkoa huo kutokana na hatua za kiutendaji alizochukua ili kuhakikisha miradi mbalimbali ya umeme...
Read More