Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akitoa taarifa ya hali ya uchumi wa Tanzania kwa Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, anayesimamia nchi za Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Hafez Ghanem (hayupo pichani), wakati wa Mikutano ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), inayoendelea Jijini Washington DC, Marekani.
Na Benny Mwaipaja, Washington DC
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuahidi kuisaidia Tanzania kukabiliana...
Read More