Rais Samia Azungumza katika Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Nchini Marekani
Apr 18, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Wageni mbalimbali wakielekea ukumbini kushuhudia uzinduzi wa wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Kikundi cha Ngoma za asili kutoka Bagamoyo kikitumbuiza katika uzinduzi wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Muandaaji wa Filamu ya Royal Tour ambaye pia ni Mwandishi wa Habari Maarufu Duniani. Peter Greenberg wakati wakijibu maswali ya Wageni mbalimbali mashuhuri waliohudhuria uzinduzi wa Filamu hiyo katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Wageni mbalimbali mashuhuri waliohudhuria uzinduzi wa Filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.