Rais Dkt. mwinyi Akutana na Kuzungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania
Apr 19, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu kinachoelezea masuala ya Nchi ya India na Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe.Binaya Srikanta Pradhan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.