[caption id="attachment_42289" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Wiaya ya Tunduru, Juma Homera akisisitiza jambo (Picha na Maktaba)[/caption]
Na: Theresia Mallya, Tunduru DC
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mhe. Juma Zuberi Homera amesema kuwa ni wajibu kwa kila kiongozi kusikiliza na kutatua kero za wananchi ili kufikia maendeleo endelevu kama ilivyo azma ya Serikali ya Awamu ya Tano.
Mhe. Homera ameyasema hayo wakati wa ziara kukagua mashamba ya Ufuta, kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Tarafa za Namasakata na Lukumbule zilizop...
Read More