[caption id="attachment_42260" align="aligncenter" width="1000"] Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP. Fortunatusi Musilimu akisisitiza jambo wakati alipokuwa akifunga mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusu usalama Barabarani leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameratibiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Kamati ya Kitaifa ya Usalama Barabarani ya Bloomberg Global Initiative chini ya ufadhili wa Shirika la Afya Duniani (WHO).[/caption]
[caption id="attachment_42261" align="aligncenter" width="927"] Meneja wa Usalama Barabarani toka Shirika la Afya Duniani (WHO), Bibi. Mary Kessy akizungumza wakati wa hafla ya ufungaji mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusu usalama Barabarani leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ambayo ni ya awamu ya tatu yameratibiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Kamati ya Kitaifa ya Usalama Barabarani ya Bloomberg Global Initiative chini ya ufadhili wa Shirika la Afya Duniani (WHO).[/caption]
[caption id="attachment_42262" align="aligncenter" width="971"] Mwakilishi toka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Mary Kitambi akielezea jambo wakati wa hafla ya kufunga mafunzo kuhusu usalama Barabarani leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameratibiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Kamati ya Kitaifa ya Usalama Barabarani ya Bloomberg Global Initiative chini ya ufadhili wa Shirika la Afya Duniani (WHO).[/caption]
[caption id="attachment_42263" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge kuhusu Usalama Barabarani, Balozi, Adadi Rajab akizungumza wakati wa hafla ya ufungaji mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusu usalama Barabarani leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ambayo ni ya awamu ya tatu yameratibiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Kamati ya Kitaifa ya Usalama Barabarani ya Bloomberg Global Initiative chini ya ufadhili wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Kutoka kulia ni Meneja wa Usalama Barabarani toka Shirika la Afya Duniani (WHO), Bibi. Mary Kessy, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP. Fortunatusi Musilimu na Mwakilishi wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ASP. Mahemba Kavalambi.[/caption]
[caption id="attachment_42264" align="aligncenter" width="1000"] Mwandishi wa Habari wa Redio ya Taifa, TBC Taifa, Bi. Beth Tesha akitoa ushuhuda kuhusu namna mafunzo ya Usalama Barabarani yalivyomsaidia katika kuandaa habari kuhusu usalama Barabarani wakati wa hafla ya kufunga mafunzo kuhusu usalama Barabarani leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameratibiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Kamati ya Kitaifa ya Usalama Barabarani ya Bloomberg Global Initiative chini ya ufadhili wa Shirika la Afya Duniani (WHO).[/caption]
[caption id="attachment_42265" align="aligncenter" width="808"] Mwandishi wa Habari wa ITV, Renatus Mutabuzi akitoa ushuhuda kuhusu namna mafunzo ya Usalama Barabarani yalivyomsaidia katika kuandaa habari kuhusu usalama Barabarani wakati wa hafla ya kufunga mafunzo kuhusu usalama Barabarani leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameratibiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Kamati ya Kitaifa ya Usalama Barabarani ya Bloomberg Global Initiative chini ya ufadhili wa Shirika la Afya Duniani (WHO).[/caption]
[caption id="attachment_42266" align="aligncenter" width="1000"] Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi, Bi. Harrieth Makweta akipokea cheti cha ushiriki wa mafunzo kuhusu Usalama Barabarani wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameratibiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Kamati ya Kitaifa ya Usalama Barabarani ya Bloomberg Global Initiative chini ya ufadhili wa Shirika la Afya Duniani (WHO).[/caption]
[caption id="attachment_42267" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Usalama Barabarani ya Bloomberg Global Initiativi, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Trafiki Makao Makuu, Deus Sokoni akipokea zawadi ya uongozi bora toka kwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge kuhusu Usalama Barabarani, Balozi, Adadi Rajab wakati wa hafla ya ufungaji mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusu usalama Barabarani leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ambayo ni ya awamu ya tatu yameratibiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Kamati ya Kitaifa ya Usalama Barabarani ya Bloomberg Global Initiative chini ya ufadhili wa Shirika la Afya Duniani (WHO).Katikati ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP. Fortunatusi Musilimu.[/caption]
[caption id="attachment_42268" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Mafunzo ya kwa Waandishi wa Habari kuhusu Usalama wa Habari "Road Saftety Fellow", Jonas Kamaleki (kulia) akikabidhiwa zawadi ya kutambua mchango wake katika mafunzo hayo na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge kuhusu Usalama Barabarani, Balozi, Adadi Rajab wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo leo jijini Dodoma.[/caption]
[caption id="attachment_42269" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusu Usalama Barabarani wakifuatilia hafla ya ufungaji wa mafunzo hayo leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ambayo ni ya awamu ya tatu yameratibiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Kamati ya Kitaifa ya Usalama Barabarani ya Bloomberg Global Initiative chini ya ufadhili wa Shirika la Afya Duniani (WHO).[/caption]
[caption id="attachment_42270" align="aligncenter" width="1000"] Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP. Fortunatus Musilimu akiwa katika picha ya pamoja na Waandishi wa Habari walioshiriki katika Road Safety Fellow Awamu ya Tatu mara baada ya kufunga mafunzo kuhusu Usalama Barabarani leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameratibiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Kamati ya Kitaifa ya Usalama Barabarani ya Bloomberg Global Initiative chini ya ufadhili wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Kutoka kushoto ni Mwakilishi toka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Mary Kitambi, Meneja wa Usalama Barabarani toka Shirika la Afya Duniani (WHO), Bibi. Mary Kessy, Mwakilishi wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ASP. Mahemba Kavalambi, Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Usalama Barabarani ya Bloomberg Global Initiativi, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Trafiki Makao Makuu, Deus Sokoni
(Picha na: Idara ya Habari - MAELEZO).[/caption]