Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wafanyakazi wa Wizara hiyo (hawapo pichani) leo Aprili 30, 2022 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Na Mwandishi wetu, DODOMA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka wafanyakazi wa Wizara anayoisimamia kubadilisha utamaduni wa kufanya kazi kwa mazoea badala yake wawe wazalendo, wapendane na kila mfanyakazi kuhalalisha nafasi aliyonayo kwa kufanya kazi kwa kuacha alama
Waziri Nape amey...
Read More