Makamu wa Rais Atoa Heshima za Mwisho kwa Hayati Kibaki
Apr 29, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimfariji Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa Uhuru Kenyatta mara baada ya kutoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Kenya, Hayati Mwai Kibaki. Tarehe 29 Aprili 2022.