Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Saidi Yakubu akiongea na Mkurugenzi wa Redio China Kimataifa, Ofisi ya Nairobi, Bi. Du Shunfang (katikati) Machi 16, 2022 jijini Arusha ambapo walijadiliana namna Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) watakavyo shirikiana na Redio China Kimataifa ili kuendelea kukuza lugha adhimu ya Kiswahili duniani.
Na Eleuteri Mangi, WUSM-Arusha
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Saidi Yakubu amesema Serikali ya Tanzania ipo mstari wa mbele kushirikiana na Redio C...
Read More