Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Philip Mpango akitembea katika Daraja la Magara mara baada ya kulizindua pamoja na Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara leo tarehe 16 Machi 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na viongozi pamoja na wananchi mbalimbali wa Magara iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara mara baada ya kufungua Daraja la Magara na Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara leo tarehe 16 Machi 2022.